Oct 19, 2013

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA RASMI MKOA WA NJOMBE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku  wazee wa Njombe wakirusha njiwa kuashiria kuzinduliwa rasmi mkoa wa Njombe leo Oktoba 18, 2013 katika Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe. PICHA NA IKULU


   Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua  kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe










vijana wa halaiki wakiwa katika uzinduzi wa mkoa mpya