rais jakaya akivikwa kiremba cha uchifu huko kwa kabila la webena mkoani njombe
Wazee wa Kabila la Wabena wakimsimika Uchifu Rais Jakaya Kikwete.
Chifu Mpya wa Kabila la Wabena,Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wakazi wa Mkoa Mpya wa Njombe
Rais Jakaya Kikwete akipokea Mkuki wakati akisimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena na mmoja wa wawakilishi wa Wazee wa Kabila hilo,kwenye wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa njombe
HONGERA SANA MHESHIMIWA JAKAYA KWA KUWA CHIFU WA WABENA
picha na jiachieBLOG+wamburababu



