Kutoka kushoto ni afisa balozi Suleiman Saleh,
mkurugenzi wa hazina Alexander Ngusaro , Mkurugenzi CRDB Dr.Charles Kimei,
Mkurugenzi wa masoko Tully Esther Mwambapa, Msaidizi wa Dr.Kimei Kenneth
Kasigila na msaidizi na Baraka Munisi mtalaam wa mikopo (BOT) wakiwa katika
ofisi za ubalozi wa Tanzania Washington Dc jumatano.
Dr.Kimei akifanya mahojiano nasi kulia kwake
afisa ubalozi Suleiman Saleh na maafisa wa benki hiyo.
Akipata wasaa wa kung'aa kushoto mtalaam wa
mikopo ya nyumba(BOT) Baraka Munisi a.k.a Kifaru na mkurugenzi wa CRDB
Dr.Charles Kimei



