Oct 11, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI YA MIONO BAGAMOYO

 raisi jakaya alipata fursa ya kuzungumza na wanafunzi wa masomo ya sayansi katika maabara ya shule hiyo


 raisi atembelea maktaba ya shule hiyo na kufanya ukaguzi wa vitabu


Mhe raisi akifungua jiwe la msingi