May 29, 2025

WAJUMBE WAALIKWA WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA


Wajumbe na waalikwa wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wakishiriki na kufuatilia Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Tarehe 29 Mei 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.