May 29, 2025

DKT. SAMIA NA DKT. MWINYI WAKIZUNGUMZA NA KUFURAHIA JAMBO KATIKA MKUTANO MAALUMU WA CCM TAIFA

 


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kufurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025