Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Viwanja vya Bunge kwa ajili ya kupokea tuzo ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla inayofanyika leo tarehe 31 Mei, 2025.
Tuzo hiyo inatolewa kwa kutambua mchango wa Mheshimiwa Rais katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Tuzo hiyo inatolewa kwa kutambua mchango wa Mheshimiwa Rais katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi Tuzo ya Bunge la Tazania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika leo tarehe 31 Mei, 2025 katika Viwanja vya Bunge.
Tuzo hiyo imetolewa kwa kutambua mchango wake katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa kutambua mchango wake katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya kumkabidhi Tuzo ya Bunge la Tazania iliyofanyika leo tarehe 31 Mei, 2025 katika Viwanja vya Bunge.
Tuzo hiyo imetolewa kwa kutambua mchango wake katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa kutambua mchango wake katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.
.webp)

.webp)
.webp)
.webp)
.webp)
.webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20Sami.webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(1).webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(2).webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(3).webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(4).webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(5).webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(6).webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(7).webp)
,%20Mhe.%20Dkt.%20Tulia%20Ackson%20akizungumza%20wakati%20wa%20hafla%20ya%20kutoa%20tuzo%20ya%20Bunge%20la%20%20Tazania%20kwa%20Rais%20%20wa%20Jamhuri%20ya%20Muungano%20wa%20Tanzania,%20Mhe.%20Dkt.%20%20(8).webp)

.webp)
.webp)
.webp)
.webp)
.webp)
.webp)

.webp)