Kulia
ni Mtangazaji wa luninga wa Azam Tv Charles Hillary akifanya mahojiano
na Iddi Ligongo (kushoto) na Mzee Boas siku ya Jumanne Novemba 8, 2016
ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika studio ya Kilimanjaro Beltsville,
Maryland,
Kutoka
kushoto ni Nambai mkazi wa DMV akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa
siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio
za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji
aliyobobea na maswala ya utangazaji DMV Mubelwa Bandio.
kushoto
ni Nambai mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku
nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za
Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea
na maswala ya utangazaji DMV Mubelwa Bandio.
kushoto
ni Nambai mkazi wa DMV Dotto akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku
nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio za
Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji aliyobobea
na maswala ya utangazaji DMV Mubelwa Bandio.
Kushoto ni Mashaka akipata picha naa John Mbele
kushoto
ni Dotto Haruba mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji
wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku
ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika
Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji
aliyobobea ya maswala ua utangazaji DMV Mubelwa Bandio.
kushoto
ni Mashaka mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa
siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku ya
Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika Studio
za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji
aliyobobea ya maswala ua utangazaji DMV Mubelwa Bandio.
kushoto ni Pius mkazi wa DMV Alawi akifanyiwa mahojiano na mtangazaji
wa siku nyingi ambaye kwa sasa yupo Azam TV Charles Hillary (kulia) siku
ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika
Studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland, Kati ni Mtagazaji
aliyobobea ya maswala ua utangazaji DMV Mubelwa Bandio.
Kulia ni mtangazaji wa BBC Swahili akimwandaa Seif Msabaha kwa mahojiano
Dedi Luba na Asha Hariz wakipata menyu Swahili Villege