Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa
hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya
Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akijumuika na waumini wengine wa kiislam katika swala ya Idd El Hajj
iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo
asubuhi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na
waumini wengine wa kiislam wakisikiliza maswaidha wakati wa swala ya
Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es
Salaam leo asubuhi.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Hajj.
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.