Viongozi mbalimbali wa Dini na Siasa akiwemo Rais Mstaafu wa Sita wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume na familia ya Hayati Sheikh Abeid Amaan Karume ikiongozwa na Mjane wa Marehemu Mama Fatma Karume wamehudhuria.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli akitoa heshima zake baada ya
akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume
katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3,
2016.
Mama Janeth Magufuli, Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli,

akitoa heshima baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa
Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh
Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini
Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli, na viongozi wengine wakiomba dua
bada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume
katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3,
2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli, na viongozi wengine wakiomba dua
bada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume
katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3,
2016.Picha na Ikulu
Baada ya kuzuru kaburi la Marehemu Sheikh Abeid Amaan Karume, Rais
Magufuli amezuru kaburi la Rais wa Pili wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Marehemu Aboud Jumbe Mwinyi lililopo nyumbani kwake
Migombani Zanzibar.
Dkt. Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wameweka mashada ya maua katika kaburi la Marehemu Aboud Jumbe Mwinyi na pia wametoa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu.
Wakizungumza katika Dua ya kuwaombea Marehemu wote wawili Viongozi wa Dini kutoka madhehebu ya Kiislamu na Kikristo wameomba kuwepo kwa amani na upendo kwa watanzania wote kama ambavyo waasisi wa Taifa walipigania.
Baadaye leo Rais Magufuli atazungumza na Wananchi wa Zanzibar katika Mkutano wa hadhara utakaofanyika katika uwanja wa Demokrasia wa Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Unguja