
ANATAFUTWA KWA TUHUMA ZA WIZI
Herman
Waheke Keraryo anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kugushi
nyaraka na Hundi ya fedha ya Kampuni ya La Kairo Investiment Ltd ya
Jijini Mwanza na kuiba amefunguliwa Jalada (RB) MW/IR/5446/2016 MWANZA.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya La Kairo Investiment Ltd anawaomba wananchi wanaomfahamu
na watakao muona mtu huyo hapo juu kwenye picha watoe taarifa haraka
kwake au katika Kituo chochote cha Polisi kilicho karibu ili kuwezesha
kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.
Zawadi nono ya fedha itatolewa kwa mtu ambaye atatoa taarifa itakayowezesha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.
Wasiliana kwa simu no. 0786 959 400/, 0783 778 778, 0684 005 000 au toa taarifa Kituo cha Polisi kilicho karibu nawe.