Sep 9, 2016

Msafara wa Makamu wa Rais Wapata Ajali Mtwara

samiaWATU wanne wajeruhiwa leo baada ya gari moja lililokuwa kwenye msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu kutoka Mtwara kwenda wilayani Tandahimba kuanguka maeneo ya Nanguruwe mkoani humo.
Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula