
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
John Mongella mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa
Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani
Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanakwaya wa UWT Kisima
cha maji Chumvi mara baada ya kuhutubia wakazi wa Sengerema mkoani
Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwalimu Mstaafu wa
Shule ya Sekondari Sengerema Wilson Fumbuka Mbanga ambaye walifundisha
naye shule hiyo tokea mwaka 1982-1985 mara baada ya kumaliza mkutano wa
hadhara Sengerema Mkoani Mwanza.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wakazi wa Sengerema
mkoani Mwanza mara baada ya kumaliza kuwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Busisi wakati akielekea Mwanza.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya
kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza.
PICHA NA IKULU.