Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Bw
,Mauricio Ramos, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na
ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo (kushoto)
Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel 23/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi
Rachel Samren Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Zanztel (katikati) Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji
Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”(wa pili kulia) na (kushoto)
Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini
Unguja leo kwa mazungumzo na Rais leo 23/08/2016
Mkurungenzi Mtendaji wa Millicom
Group Mauricio Ramos akiwa kwenye ya pamoja na wanafanya kazi wa kampuni
ya simu za mkononi ya Zantel Zanzibar baada ya kufanya ziara ya
kutembelea ofisi za kampuni hiyo Zanzibar.