Rais Dk. Magufuli.
Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus
Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua
nafasi iliyoachwa wazi na Rashid Othman aliyestaafu. Dk. Modestus Kipilimba ataapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Dk. Modestus Kipilimba, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.