
Picha
namba 2469 JPG, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia),
akimkabidhi zawadi ya Nembo ya JWTZ Waziri wa Ulinzi wa Canada, Mhe.
Harjit Singh Sajjan (kushoto) ofisini kwake Makao Makuu Upanga jijini
Dar es Salaam.

Waziri
wa Ulinzi wa Canada Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto) akifurahia
zawadi ya Kinyago alichokabidhiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) alipomtembelea ofisini kwake Upanga
jijini Dar es Salaam.