Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January
Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh.
Yahel Vilan alimpomtembelea Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar
es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January
Makamba akijadiliana jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh Yahel
Vilan alimpomtembelea Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es
Salaam leo. Wengine ni Maafisa toka Wizara ya mambo ya nje waliongozana
na Balozi huyo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January
Makamba akisoma Nakala za machapisho alizopatiwa na Balozi wa Israel
Nchini Tanzania Mh . Yahel Vilan.