Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mbando (wa tatu kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya
NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (wa pili
kulia) wakionesha ujumbe wa maadhimisho mara baada ya kuzindua hafla ya
maadhimisho ya siku ya walimu ‘Teachers Day’. Benki ya NMB
imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya
masuala anuai ya kibenki.Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mbando ambaye ni mgeni rasmi akizungumza na walimu
wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania jijini Dar es Salaam katika
maadhimisho ya siku ya walimu ‘Teachers Day’, Benki ya NMB
imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya
masuala anuai ya kibenki.Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar
es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo akizungumza na walimu wanachama
wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) jijini Dar es Salaam katika
maadhimisho ya siku ya walimu ‘Teachers Day’, Benki ya NMB
imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya
masuala anuai ya kibenki.Augustino Mbogela Mkuu wa Kitengo
cha Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB akizungumza na walimu wanachama wa
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) jijini Dar es Salaam katika maadhimisho
ya siku ya walimu ‘Teachers Day’, Benki ya NMB imewakutanisha walimu
katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki.Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mbando ambaye ni mgeni rasmi akizungumza na walimu
wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania jijini Dar es Salaam katika
maadhimisho ya siku ya walimu ‘Teachers Day’, Benki ya NMB
imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya
masuala anuai ya kibenki.Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mbando (mwenye gauni jeusi) ambaye ni mgeni rasmi
katika shughuli hiyo akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi na
viongozi wa NMB kwenye maadhimisho ya siku ya walimu ‘Teachers Day’.
Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa
semina ya masuala anuai ya kibenki.Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mbando akiagana na baadhi ya viongozi wa UWT na NMB
mara baada ya kuzindua hafla hiyo ya ‘Teachers Day’.
Baadhi ya walimu wanachama wa Chama
cha Walimu Tanzania (CWT) jijini Dar es Salaam na maofisa wa NMB wakiwa
katika maadhimisho ya siku ya walimu ‘Teachers Day’. Benki ya NMB
imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya
masuala anuai ya kibenki