RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI DAR
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akibofya kitufe kuashiria uzi8nduzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 50 ya
benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo
Juni 22, 2016. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius
Likwelile alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya
Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisimama kwa ukakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa akiwa na Mkuu
Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile, Gavana wa Benki Kuu
ya Tanzania, Profesa Benno Ndullu, na Mkuu wa Mkoa wa Dar e3s salaam Mhe
Paul Makonda kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016