
Mwimbaji
wa nyimbo za Injili nchini,Vanessa Laban, kutoka Jijini Mwanza,
anatarajia kuachia Album yake mpya iitwayo "Sifa Zivume" iliyo katika
mfumo wa Sauti/ Audio na Picha Nyongevu/ Video.
Albam
hiyo inasambazwa na Kampuni ya Vipaji Entertainment inayosimamiwa na
Maganga Gwensaga, ambae ni Meneja wa Kituo cha Radio cha HHC Alive cha
Jijini Mwanza.
Bonyeza HAPA Au Play Hapo Chini Kusikiliza Wimbo uitwayo "Ni Kwa Neema" ulioimbwa na Vanessa Laban.