Diana Exavery ‘Malaika’
BAADA ya kufanya siri kwa muda
mrefu, staa wa Ngoma ya Raruararua, Diana Exavery ‘Malaika’ amekiri kwa
mara ya kwanza kuwa hayupo tena na mpenzi wake, Eddy ndiyo sababu hata
ya kufikia hatua ya kuondoka walipokuwa wakiishi pamoja Kunduchi jijini
Dar. Akizungumza katika mahojiano mafupi na Over Ze Weekend, Malaika
ambaye awali alikuwa akisimamiwa na Eddy, kwa sasa yupo chini ya
udhamini kutoka Norway alikuwa na haya ya kusema;
Over Ze Weekend: Ningependa kupata ukweli, ni kweli umeachana na mpenzi wako maana maneno yamekuwa mengi sana.
Malaika: Ni kweli hatuko pamoja tena kama zamani, kwa sasa hivi niko na mambo yangu na yeye vilevile.
Over Ze Weekend: Lakini mbona inasemekana kuwa yeye ndiye alikuwa mpango mzima katika muziki wako wote?
Malaika: Hapana! Kwa sababu niliruhusu watu waamini hivyo lakini haikuwa hivyo.

Malaika: Duh! Hapana kwa sasa na hata kama ningekuwa nafikiria kurudi ingekuwa ni ngumu kutokana na alivyojitahidi kunichafulia katika kazi zangu.
Over Ze Weekend: Kwa hiyo uko tayari kwa mtu yeyote akitokea na kuanzisha uhusiano mpya?
Malaika: Hapana kwa sasa, maana nimejifunza mambo mengi sana katika mapenzi na ninahitaji muda mrefu sana kwa sasa naangalia kazi zangu ndiyo.
Malaika: Hapana kwa sasa, maana nimejifunza mambo mengi sana katika mapenzi na ninahitaji muda mrefu sana kwa sasa naangalia kazi zangu ndiyo.
Over Ze Weekend: Ila inasemakana jamaa amekutoa mbali sana.
Malaika: Hata mimi nasikitika kwa hilo kwa kuwa tumetoka mbali lakini matendo yake yamenifanya kuondoka kwake na hata kama anatangaza ana masikitiko kuachana na mimi nitashangaa kwa kuwa nina ndugu zangu hakuniokota.