Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, January Makamba Akizungumza
na Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Parakuyo ambao wengi
wao ni wanatoka kwenye familia za Wafugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, January Makamba Akizungumza na Wafugaji kutoka Kijiji cha Parakuyo.
Akina
mama wa Kijiji cha Parakuyo wakimsikiliza kwa Makini Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, January Makamba wakati alipotembelea
Maeneo ya Wafugaji na Kuzungumza nao.