
Mmakamu wa
Rais mstaafu Dr Mohammed Gharib Bilal akizungumza wakati wa kufungua
rasmi kongamano la nane la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani
liloandaliwa na kalamu education foundation (kef), katika ukumbi wa
julius nyerere convention centre jijini dar es salaam.

Mkurugenzi
mtendaji wa benki ya Amana Dr.Muhsin S.Masoud akitoa neno kwa wageni
waalikwa, ambapo amana bank ni wadhamini wakuu wa kongamano hilo.

Mke wa
imam Qasim - Hasaina M.khan katika kongamano la nane la kukaribisha
mwezi mtukufu wa ramadhani lililofanyika jijini dar es salaam, kushoto
kwake ni mtwangi.

Baadhi washiriki wa Kongamano hilo

Makamu wa
Rais mstaafu Dr Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akimkabidhi
zawadi imam qasim ibn ali khan kutoka marekani (kushoto), wanaoshuhudia
ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na rais wa kef mohamed
kamilagwa(kulia) pamoja na mkurugenzi mtendaji wa benki ya amana
dr.muhsin s. masoud(wa pili kulia)

Imam Qasim
Ibn Ali khan kutoka Marekani akitoa mada wakati wa kongamano la nane la
kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani liloandaliwa na kalamu education
foundation (kef), jana jijini dar es salaam.

Baadhi ya Washiriki wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye kongamano hilo