Mtaalamu
Mwelekezi wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Martin
Koyabe akitoa mada kuhusu uandaaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama
kwenye Mitandao. 
Wadau wa Sekta ya Mawasiliano wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Injinia
Clarence Ichwekeleza akifungua Semina ya wadau na wataalamu kutoka
Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya Madola (hawapo pichani) kuhusu
Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao nchini.
Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano.