Mkandarasi
wa Estim Construction anayejenga daraja la Ruvu chini akifafanua jambo
kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa
alipokagua ujenzi huo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akitoa
maelekezo kwa Mkandarasi wa Estim Construction kukamilisha ujenzi wa
Daraja la Ruvu chini kwa wakati.
Muonekana
wa nguzo za Daraja la Ruvu chini lenye urefu wa mita 140 ambalo ujenzi
wake unaendelea katika barabara ya Msata-Bagamoyo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akikagua vifaa
vitakavyofungwa kwenye kingo za Daraja la Ruvu chini ili kukabili
mafuriko.
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Eng. Manase Ole
Kujan (Kushoto), akitoa taarifa ya kikao kazi kwa Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (Katikati) katika mafunzo
elekezi kwa Watendaji wakuu, Mameneja na Wazalishaji wa wakala huo
mkoani Morogoro.