NMB yasaidia madawati 50 katika Shule ya Msingi Majimatitu.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.
Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia)
akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke,
Salum Upunda (kushoto) ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 kwa
Shule ya Msingi Majimatitu yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja
wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kulia) akimkabidhi
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) moja ya
dawati kati ya madawati 50 yaliyotolewa kama msaada kwa shule ya msingi
Majimatitu. Mwenyekiti
wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akimkabidhi Mkuu
Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) dawati moja kati ya
madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi. Kikundi
cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu kikiwaburudisha wageni
waalikwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa
shule hiyo.