
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na mgeni wake Balozi wa Vatican hapa nchini anayemaliza muda wake
nchini Francisco Montecillo

ais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Vatican hapa nchini anayemaliza muda wake Francisco
Montecillo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Balozi
wa Algeria hapa nchini Belabed Saada akikabidhi ujumbe uliotoka kwa
Rais wa Algeria kuja kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.