Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel, Dangio
Kaniki (kati) akipiga picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya
ICT kwa wasichana wa kidato cha tatu hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF (
Universal Communications Services Access Funds ) na kushirikisha
wasichana 240 hapa nchini, na kupata washindi sita watakaoenda kushiriki nchini
Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu, Airtel ni mdhamini wa mashindano hayo .
Hafla hiyo ya kupata washindi hao sita ilifanyika hapo jana katika ukumbi wa
Buni Innovation Hub uliopo katika ofisi za COSTECH, Kijitonyama jijini Dar Es
Salaam
Mwanafunzi Elisia Yohana (kulia) wa
shule ya sekondari Nyankumbu iliyopo Geita akielezea jinsi program ya kikundi
chao jinsi itakavyokuwa inafanyakazi katika mashindano ya ICT kwa
wasichana wa kidato cha tatu hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF (
Universal Communications Services Access Funds ) na kushirikisha
wasichana 240 hapa nchini na kupata washindi sita watakaoenda kushiriki nchini
Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu, Airtel ni mdhamini wa mashindano hayo.
Hafla hiyo ya kupata washindi hao sita ilifanyika hapo jana katika ukumbi wa
Buni Innovation Hub uliopo katika ofisi za COSTECH, Kijitonyama jijini Dar Es Salaam
Afisa Mtendaji mkuu wa mfuko wa Mawasiliano
kwa wote (Universal Communications Services Access Funds) UCAF, Eng.
Peter Ulanga (aliyesimama) akiongea na wanafunzi katika mashindano
ya ICT kwa wasichana wa kidato cha tatu hapa nchini yaliyoandaliwa na
UCAF na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel na
kushirikisha wasichana 240 hapa nchini na kupata washindi sita
watakaoenda kushiriki nchini Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu. Hafla hiyo ya
kupata washindi hao sita ilifanyika hapo jana katika ukumbi wa Buni Innovation
Hub uliopo katika ofisi za COSTECH, Kijitonyama jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Sayansi na Teknolojia
wizara ya elimu, sayansi, teknolojia na ufundi, Prof. Evelyne Mbede (kushoto)
akiongea na wanafunzi wa kidato cha tatu katika mashindano ya ICT kwa
wasichana wa kidato cha tatu hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF (
Universal Communications Services Access Funds ) na kushirikisha
wasichana 240 hapa nchini na kupata washindi sita watakaoenda kushiriki nchini
Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu, Airtel ni mdhamini wa mashindano hayo .
Hafla hiyo ya kupata washindi hao sita ilifanyika hapo jana katika ukumbi wa
Buni Innovation Hub uliopo katika ofisi za COSTECH, Kijitonyama jijini Dar Es
Salaam
Mkurugenzi wa Elimu ya sekondari, Wizara ya
Elimu na mafunzo ya Amali- Zanzibar bi Asya Iddi (kushoto) akikabidi cheti
kwa Aines Mtani (wa tatu kulia) kama mmoja wa washiriki katika mashindano ya ya