Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia)
akiwasili eneo la tukio kushuhudia uchaguzi wa Rais, Makamu wa Rais
pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF)
uliofanyika 25 Februari, 2016 Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo.
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (mwenye suti
nyeusi) akihojiwa na na Wanahabari pamoja na baadhi ya Wasanii mara
baada ya kuwasili eneo la tukio kushuhudia uchaguzi wa Rais, Makamu wa
Rais pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF)
uliofanyika 25 Februari, 2016 Jijini Dar es Salaam.
|