WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNHCR NCHINI
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR), Bi. Joyce Mends- Cole,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 26, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).