Naibu
Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni tayari kuongoza Kikao cha 6
cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga akuungia Bungeni tayari kwa kuapishwa.
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akimwapisha Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga.
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.