Benki ya NMB yatoa milioni 300 kushindaniwa na wateja wake
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Dar es Salaam,
alipokuwa akitambulisha mchezo wa bahati nasibu utaoendeshwa na benki
hiyo ambapo wateja wa NMB na watakaofungua akaunti mpya watajishindia
kuanzia shilingi 100,000/- hadi shilingi milioni tatu 3,000,000/-.
Katika bahati nasibu hiyo itakayojulikana kwa jina la "Pata Patia" jumla
ya shilingi milioni 300 zitashindaniwa. Alisema jumla ya washindi 24
watapatikana kila mwezi. Aliongeza kuwa kila utakapoweka fedha kwenye
akaunti yako ndivyo utakavyo jiongezea nafasi ya kushinda. Wengine
Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu na
Mkaguzi Mwandamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania,
Mrisho Milao (kulia).

Mrisho Milao (kulia)
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu akitoa
ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini
Dar es Salaam, alipokuwa akitambulisha mchezo wa bahati nasibu
utaoendeshwa na benki hiyo ambapo wateja waliopo wa NMB na watakaofungua
akaunti mpya watapata nafasi ya kujishindia kuanzia shilingi 100,000/-
hadi milioni tatu (3,000,000/-). Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu akitoa
ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini
Dar es Salaam, alipokuwa akitambulisha mchezo wa bahati nasibu
utaoendeshwa na benki hiyo ambapo wateja waliopo wa NMB na watakaofungua
akaunti mpya watapata nafasi ya kujishindia kuanzia shilingi 100,000/-
hadi milioni tatu (3,000,000/-). Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa.[/caption]
[caption id="attachment_67911" align="alignnone" width="800"]
Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kulia) akitoa
utaratibu na kuwatambulisha baadhi ya maofisa waandamizi wa Benki hiyo
waliokuwa wakizungumza katika hafla hiyo ya kuutambulisha mchezo wa
bahati nasibu wa Pata Patia kwa wanahabari.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa
(kushoto) akiwatambulisha waandishi wa habari wawili ambao walibahatika
kushinda katika uzinduzi wa bahati nasibu hiyo ya "Pata Patia"
uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Wanahabari hao mmoja alijishindia shilingi laki sita (600,000/-) na
mwingine kushinda shilingi milioni moja (1,000,000/-) baada ya
kuzungusha gurudumu la bahati nasibu.
Waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi
wa bahati nasibu hiyo ya "Pata Patia" uliofanyika Makao Makuu ya Benki
hiyo jijini Dar es Salaam leo wakijipongeza.
Waandishi wa habari wawili ambao walibahatika kushinda katika uzinduzi
wa bahati nasibu hiyo ya "Pata Patia" uliofanyika Makao Makuu ya Benki
hiyo jijini Dar es Salaam leo wakipiga picha ya kumbukumbu na maofisa wa
NMB waliokuwa wakitambulisha mchezo huo wa bahati nasibu "Pata Patia".