Jan 25, 2016

ALICHOKIANDIKA ESTER BULAYA BAADA YA KUMSHINDA WASIRIA MAHAKAMANI

DSC04632
Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya.
Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa Bunda mjini na kumpa ushindi Ester Bulaya wa Chadema.
Baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo Mbunge huyo wa Bunda Mjini Ester Bulaya ameandika hivi
” Nimemshinda Wasira kwa wananchi na leo nimemshinda mahakamani mahakama imetupilia mbali kesi yake dhidi ya. Ushindi wangu”
CZj0gHAUEAAl6L_