Washiriki
wa mchezo wa kukuna nazi wakishindana katika Bonanza la michezo ya
Jimbo la Tunguu yaliyofanyika kiwanja cha Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.
Mshiriki wa mbio za Baskeli Zainab Juma akimaliza mbio hizo akishikilia nafasi ya nne.
Mgombea
uwakilishi Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Simai
Mohommed Said akiteta kitu na Mwenyekiti wa CCM Jimbo Tunguu Khatib
Ramadhan Iddi (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja
Ramadhan Abdallah Ali.
Mwenyekiti wa CCM Jimbo Tunguu Khatib Ramadhan Iddi akizungumza na washiriki wa CCM Bonanza lililofanyika Bungi Mkoa wa kusini.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdallah Ali akimpa zawadi kepte
wa tim ya Nage ya Bungi (B) Shida Saidi. (Kulia) mgombea Upunge wa Jimbo
la Tunguu Khalifa Salim Suleiman. Picha na Makame Mshenga-Maelezo
Zanzibar.