Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano
Ikulu jijini Dar es salaamOktoba 2, 2015

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa
mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw. Frank Kanyusi akitoa
maelezo kuhusu wavuti mpya ya wakala huo ambayo kuanzia sasa mteja
atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa
mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi wavuti mpya ya BRELA ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni