Oct 14, 2015

MWAPACHU AJIVUA UANACHAMA CCM

mwapachu
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza rasmi kujivua uanachama ndani ya CCM bila kusema anaelekea chama gani huku akidai kuwa, CCM imepoteza dira.