Bando
la kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia
Suluhu Hassan,likiwa limeshikwa na wananchi katika uwanja wa kumbukumbu
ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo

Chopa
iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini
Sumbawanga mkoani Rukwa leo, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano
mkubwa wa kampeni.