Oct 8, 2015

MAKAMBA AHUTUBIA WAKAZI BUMBULI NA MALALO

Mzee yupo tayari kwa kupiga kura kumchagua Rais,Mbunge na Diwani wa Chama cha Mapinduzi.January Makamba akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Mamba,Kubwa ametekeleza Upatikanaji wa Umeme,Usambazi wa maji na uanzishwaji wa kituo cha Afya.January Makamba chaguo la Wanabumbuli.Watoto nao ni Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi kwa uongozi Ujao."Mabadiliko ya kweli yapo CCM"