Oct 6, 2015

JERRY SILAHA MGENI RASIMIN MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA TUNGUU ZANZIBAR.

5
Mgeni rasimin Meya wa Ilala Jerry Silaha akimnadi mgombea uwakilishi Simai Mohammed Said wa Jimbo la Tunguu kwa wananchi wa Mkoa huo.
6
Mgeni rasimi Meya wa Ilala Jerry Silaha akimnadi mgombe Ubunge wa Jimbo la Tunguu Khalifa Salim Suleiman katika Mkutano ulifanyika kiwanja cha Jumbi Skuli.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
1
Meya wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam Jerry Silaha akisalimiana na viongozi wa CCM wa Mkoa wa kusini Unguja katika Mkutano wa kampeni uliofanyika kiwanja cha Jumbi Skuli.