Sep 6, 2015

MAMA SAMIA AITEKA AUNGURUMA JIMBO LA UKONGA JIJINI DAR

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi atika mutano wa kampeni uliofanyika leo, katika eneo la kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
 Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.

Wasanii waliopo katika kampeni ya Mama Ongea na Mwanao mpigie kura Dk. Magufuli, wakiwa kwenye mkutano huo