Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli
akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa
Jamhuri mjini Morogoro jana.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha kwa
wananchi Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli wakati wa mkutano wa
kampeni mjini Morogoro.
JK akikumbatiana kwa furaha na Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, John Magufuli wakati wa kampeni hizo, ambapo alisema kuwa
siku atakapomkabidhi madaraka atafurahi sana.
Wote wawili wakiwasalimia wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Dk Magufuli akiombewa na watawa baada ya kumaliza kujinadi kwa wananchi mjini Mikumi jana.
Wananchi wa Kijiji cha Mkasum wilayani Kilombero wakishangilia
kwa furaha baada ya kufanikiwa kuuzuia msafara wa Dk Magufuli ili
asikilize kero zao.
Wananchi wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali walipomzuia
Dk Magufuli katika Kijiji cha Mkula, akitokea Ifakara kwenda Jimbo la
Mikumi.
Mambo yalivyokuwa katika Kata ya Mkambam wilayani Kilombero.
Dk Magufuli akizungumza na wananchi na kuwaomba kumpigia kura ifikapo Oktoba 25 mwaka huu.
Madiwani wa CCM wakinadiwa na Dk Magufuli nkatika mkutano wa kampeni mjini Ruaha, Kilombero mkoani Morogoro.
Mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi akijinadi mbele ya Mgombea urais wa CCM, Dk Magufuli mjini Ruaha.
Mgombea ubunge Jimbo la Mikumi kupitia CCM Jonas Nkya AKIOMBA KUPIGIA KURA katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Dk Magufuli akihutubia huku akishangiliwa na wananchi mjini Ruaha.
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi ili apigiwe kura kwa wingi mjini Kilosa
Dk Magufuli akimvisha kofia aliyekuwa Katibu wa Chadema Wilaya
ya Kilosa, Abdalah Seleman ambaye alitangaza kukihama chama nhicho na
kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Kilosa
Dk Magufuli akimvisha kofia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema
Wilaya ya Kilosa, Seleman Simba ambaye alitangaza kukihama chama nhicho
na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Kilosa
Dk Magufuli akiwahutubia wakazi wa Kimamba wilayani Kilosa na kuahidi kujenga barabara kwa kiwango cha lami hadi mjini Kilosa.
Msafara wa Dk Magufuli ukiingia uwanjani huku akilakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Mzumbe wilayani Mvomero
Dk Magufuli akimbeba mtoto na kumpoatia zawadi alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano huo wa kampeni
Wasanii mbalimbali wanaoeneza ujumbe wa Sema na Mwanao kuhusu uamuzi wa kuipigia kura CCM katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusufu Makamba (kulia)
akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mgombea
urais kupitia chama hicho, Dk John Magufuli alipowasili kumpiga tafu
katika mkutano wa kampeni za CCM
Msanii Ali Kiba akiongoza vijana wake kulishambulia jukwaa walipotumbuiza katika mkutano huo
JK na Dk Magufuli wakiteta jambo
Dk Magufuli akijadiliana jambo na Rais Jakaya Kikwete
Mke wa Rfais, Mam Salma Kikwete (kushoto) wakioneshana jambo kwenye simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wananwake wa CCM,
Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusufu Makamba akielezea katika
mkutano kuhusu anavyoujua ufisadi wa Mgombea urais wa Ukawa, Edward
Lowassa pamoja utajiri mkubwa alio nao
Dk Magufuli akionesha ukakamavu kwa kupanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi kwenye Uwanja wa Jamhuri
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi ili apigiwe kura kwa wingi mjini Kilosa
Dk Magufuli akionesha ukakamavu kwa kupanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi