Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo
nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha
sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya
mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella
Bird (kulia) mara baada ya kusaini hati hiyo ya makubaliano kati ya
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya
nchini leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari
mara baada ya kusaini hati ya makubaliano kuimarisha sekta ya afya
nchini leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia
nchini Tanzania Bi Bella Bird.
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia
nchini Tanzania Bi Bella Bird (kulia) akizungumza na waandishi wa habari
mara baada ya kusaini hati ya makubaliano kuimarisha sekta ya afya
nchini leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha Dkt. Servacius Likwelile.