Watanzania waishio Switzerland.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa
kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva jana baada ya kuzungumza
nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini
Geneva Uswisi.
(Picha na Freddy Maro)