RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi
Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.
Ndugu
Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa
kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka sahihi baada ya kumuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akikabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Ndugu Kailima Ramadhani
Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akipeana mikono na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey baada ya kumuapisha
kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete akiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
katika picha ya pamoja na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jana Julai 25, 2015.
Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Florens
Turuka, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Hamid
Mohamoud Hamid, Rais Kikwete, Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey, Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Msajili wa vyama vya Siasa Jaji
Francis Mutungi.
Rais Kikwete akisalimiana na mtoto wa Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey, Msemakweli (2) wakati wa hafla hiyo fupi