Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Ethiopia
Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.(picha na
Freddy Maro).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Ethiopia
Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni, mara baada
ya kufanya mazungumzo nae.
picha na IKULU