MWANZA TUMEFIKA KWETU HOUSE MSIMU WA PILI TAREHE 18/07 2015 NDANI YA GOLDCREST HOTEL
Mwanza Tumefika ....Ni zamu ya Mwanza kwa Shabiki wa Kweli wa Soka kuonyesha Kipaji kupitia Kwetu House Msimu wa Pili ....usahili utafanyika ndani ya Ukumbi wa mandela Ndani ya Hotel ya GOLDCREST iliyopo jijini mwanza
prodyuza wa Kwetu house Joseph Mtatiro akizungumza na wadau wa jiji la mwanza kupitia Jembe Fm katikati jiji la mwanza kuwafahamisha wadau wa mwanza waweze kujitokeza kushiriki Shindano hilo la KWETU HOUSE msimu wa pili