
Kiwanja
kipya cha Maraha kifahamikacho kwa jila la Maisha Club Basement
kimeanza kupiga kazi usiku huu kwenye jengo jipya la LAPF, Makumbusho
jijini Dar es salaam. Kiwanja hiki ambacho ni cha kisasa kabisa ni
mbadala wa Maisha Club iliyokuwepo Masaki, hivyo sasa kila kitu
kinapatikana hapa.


Ndani ya Kiwanja hicho maalum kwa kuruka majoka kunaonekana namna hii.
na michuzi media