

Mwanamuziki
Naseeb Abdul almarufu kama Diamond Platnumz akisalimia warembo baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Kilimanjaro International
Airport (KIA).



Shindano
la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 linafanyika usiku wa leo katika
viwanja ya Kili Home Resort kuanzia saa mbili usiku likiambatana na
burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo wasanii mbalimbali
watatumbuiza akiwemo Diamond Platnumz na burudani ya Uchekeshaji kutoka
kwa Masanja Mkandamizaji.
chanzo: JIACHIE
