Jun 29, 2015

UHABA WA MAFUTA WAIKUMBA MUSOMA

 wakazi wa muji wa musoma wamejikuta katika wakati mgumu sana baada ya kukosa huduma ya mafuta katika vituo vya mafuta mjini musoma baadhi ya madereva na wwaendesha boda boda wameilalamikia serikali kwa kutowajaloi na kusababsha kuzorota kukiosekana kwa huduma ya mafuta mjini hapo.