
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete
wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow
Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa
kawaidavwa Umojanwa Afrika.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete
wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia
Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow
Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria
Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete
wakilakiwa na maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini mara
walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton,
Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa
kawaidavwa Umojanwa Afrika.
PICHA NA IKULU